Jukwaa la taasisi na wanachama

Jumuiya bora huanza na uwazi.

Mshirika huunganisha wanachama, fedha, miradi na mawasiliano katika mfumo mmoja unaoeleweka—kutoka daftari hadi uamuzi wenye taarifa sahihi.

✓ Rahisi kwenye simu✓ Ruhusa kwa majukumu✓ Historia inayofuatilika
Mshirika
Habari, Mweka Hazina

Muhtasari wa leo

Total available balanceSalama
TZS 8,450,000
● Taslimu 1.25M● Benki 6.40M● Mobile 800K
↗ Imesasishwa sasa hivi3 accounts
◎WanachamaRekodi moja↗MichangoFuatilia madai
👥 Wanachama woteKatika muundo wako
▥ Ripoti haiUamuzi kwa wakati
Imetengenezwa Tanzania

Imeundwa kwa namna jumuiya zetu zinavyofanya kazi.

Kuanzia kikundi kidogo hadi taasisi yenye matawi mengi—Mshirika hubadilika kulingana na muundo, sera na lugha ya shughuli zenu.

Ona taasisi zote →
M
⛪MakanisaSadaka na zaka
◉VICOBAMizunguko na akiba
🏦SACCOSHisa na mikopo
🤝VikundiMichango ya pamoja
+Na nyingineModuli zinazobadilika
Mfumo unaokua pamoja nanyi

Anzeni na mnachohitaji.
Ongezeni uwezo mnapokua.

Mshirika huleta taarifa zilizotawanyika pamoja bila kulazimisha taasisi kubadili utambulisho wake. Sanidi muundo, moduli na sera kulingana na hatua mliyofikia.

✓ Hamishia rekodi za zamani kwa mpangilio✓ Washa moduli mpya wakati wowote✓ Endelea kutumia historia yenu yote
Chunguza moduli →
▤DaftariRekodi za zamani▦ExcelOrodha mbalimbali◌UjumbeTaarifa za vikundi
→
MMshirikaChanzo kimoja cha taarifa
✓Rekodi safi↗Ripoti hai⌁Uamuzi bora
01
360°

Muonekano kamili

Wasifu, malipo, nyaraka na historia ya mwanachama katika sehemu moja.

02
1

Rekodi inayoaminika

Viongozi na watendaji hutumia taarifa ileile yenye ruhusa na audit trail.

03
24/7

Ufikiaji wa kidijitali

Endesha shughuli kwa simu au kompyuta bila kutegemea daftari la ofisini.

Vipengele vinavyojitegemea

Chagua moduli zinazofaa kazi zenu.

Taasisi huanza na moduli muhimu kwa aina yake, kisha huongeza nyingine inapohitaji. Sera na viwango vinawekwa na taasisi.

👥MSINGI

Wanachama na muundo

Usajili, matawi, makundi, majukumu, nyaraka na vitambulisho vya QR.

Gundua uwezo →
◫MAKUSANYO

Michango na malipo

Ada za kujiunga, michango ya mara kwa mara, madeni, risiti na ulinganisho.

Gundua uwezo →
◒HUDUMA ZA FEDHA

Akiba, hisa na mikopo

Moduli huru zenye sera, maombi, dhamana, marejesho na salio.

Gundua uwezo →
◇MAENDELEO

Miradi na ufadhili

Bajeti, ahadi, wafadhili, mikopo ya mradi, matumizi na maendeleo.

Gundua uwezo →
✦MAWASILIANO

SMS, mikutano na taarifa

Fikia kundi sahihi na hifadhi mikutano na vikumbusho.

Gundua uwezo →
▥USIMAMIZI

Ripoti na udhibiti

Dashibodi, ruhusa, maker-checker na taarifa za uendeshaji.

Gundua uwezo →
Huduma kulingana na taasisi

Njia tofauti za kuungana.
Mfumo mmoja unaobadilika.

Kila taasisi hupata msingi unaoendana na shughuli zake, huku moduli nyingine zikiendelea kuwa za kuchagua.

⛪

Makanisa

Waumini, jumuiya, sadaka za misa, zaka, ahadi, direct debit na miradi.

🤝

Vikundi vya kusaidiana

Ada ya kuingia, michango ya wiki au mwezi, madeni na misaada kwa wanachama.

◉

VICOBA

Mizunguko, michango, akiba, hisa, mikopo, faida na mgao wa mwisho.

🏦

SACCOS

Akiba, hisa, sera za mikopo, wadhamini, marejesho na kutoa fedha.

🎓

Alumni

Wahitimu, madarasa, michango, ahadi, kampeni na miradi ya pamoja.

🌍

NGOs na CBOs

Wanachama, wafadhili, washirika, ruzuku, miradi na matumizi.

🏅

Vilabu na mashabiki

Uanachama, ada, matawi, kampeni, shughuli na mawasiliano.

⚑

Vyama vya siasa

Muundo kutoka taifa hadi tawi, wanachama, ada na michango.

🌳

Ukoo

Watu wa ukoo, vizazi, mahusiano, matawi, faragha na michango.

◈

Vyama vya kitaaluma

Wanachama, matawi, hadhi, ada, mikutano na miradi ya taaluma.

+

Taasisi nyingine

Chagua muundo, moduli na sera zinazoendana na kazi zenu.

Umeiona taasisi yako?

Anza na muundo unaokufaa.
Tutakuongoza hatua kwa hatua.

Chagua aina ya taasisi yako na Mshirika itaandaa moduli muhimu za kuanzia. Unaweza kuongeza nyingine na kuweka sera zenu baada ya kuingia.

✓ Akaunti ya majaribio✓ Inafanya kazi kwenye simu✓ Hamisha taarifa baadaye
Timu ikisimamia taarifa za wanachama✓ Taarifa zimepangwana ziko tayari kutumika
Kutoka karatasi hadi kidijitali

Hamishia historia yenu bila kuanza upya.

Onboarding inayoongozwa hukusaidia kuweka tarehe ya kuhamia, kupakua violezo, kuhifadhi nyaraka, kuhakiki taarifa na kuidhinisha salio la mwanzo.

  1. Chagua taarifa kulingana na moduli mlizowasha
  2. Ingiza kwa CSV au fomu rahisi ya simu
  3. Hakiki makosa kabla ya kuchapisha
  4. Hifadhi historia na ushahidi wa uhamisho
Pata msaada wa kuanza →
Anza kwa urahisi

Hatua nne tu, kisha endelea kukua.

01⌁

Sajili taasisi

Chagua aina na fungua akaunti ya msimamizi.

02◫

Sanidi sera

Thibitisha moduli, muundo na taratibu zenu.

03⇧

Hamisha taarifa

Ingiza wanachama na salio kwa uhakiki.

04↗

Endesha shughuli

Kusanya, wasiliana, idhinisha na ripoti.

Uaminifu umejengwa ndani

Kila rekodi inalindwa.
Kila hatua inaonekana.

Mshirika hutenganisha taarifa za kila taasisi, huthibitisha ruhusa kabla ya hatua, na kuhifadhi historia inayosaidia viongozi kuwajibika.

✓ Taarifa za taasisi hazichanganywi✓ Hatua nyeti zinaweza kuidhinishwa✓ Historia haipotei kimya kimya
✓
ULINZI WA MFUMORuhusa imethibitishwa

Kila ombi hukaguliwa kwa mtumiaji na taasisi.

Salama
◎
01 · ACCESS

Ruhusa kwa jukumu

Kila mtu huona na kufanya kilichoidhinishwa pekee.

⇄
02 · APPROVAL

Maker-checker

Muandaaji na mwidhinishaji wanaweza kutenganishwa.

⌁
03 · HISTORY

Audit trail

Mhusika, muda na mabadiliko hubaki kufuatiliwa.

▣
04 · PRIVACY

Faragha ya taasisi

Taarifa za taasisi moja hazionekani kwa nyingine.

Tuanze pamoja

Ipe jumuiya yako mfumo unaostahili.

Sajili moja kwa moja au acha mawasiliano yako ili timu yetu ikuoneshe jinsi Mshirika inavyoweza kuendana na taasisi yako.

✓ Rahisi kutumia kwenye simu

Au sajili taasisi yako sasa